Ingawa kuna changamoto nyingi zinazoikabili lugha ya kiswahili , kuna mapendekezo yakukifanya kikue na kienee , miongoni mwa njia hizo ni , serikali itilie mkazo matumizi ya kiswahili katika serikali na vyuo ya elimu ya juu, watu waache kudharau lugha ya kiswahili, kutunga vitabu vingi vya sarufi na lugha ya kiswahili kwa ujumla, serikali itenge fedha za kuwalipa wataalam, kuendesha semina , makongamano, na kuchapisha vitabu pamoja na makala mbalimbali.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni